Katika Injili ya Yohana sura ya 6, Bwana anasema, “Mimi ni chakula cha uzima.” Watu walihisi wamekula chakula cha mwili kutoka kwa Yesu. Siku iliyofuata, walienda kumtafuta Yesu tena, lakini Yesu aliwaambia wasifanyie kazi chakula kinachoharibika bali chakula ambacho ni cha uzima wa milele. Na kwa hivyo, watu waliuliza, “Tufanyeje ili tupate kuzitenda kazi za Mungu?” (Yohana 6:28) Yesu akajibu, “Hii ndiyo,kazi ya Mungu,mmwamini yeye aliyetumwa na yeye.” (Yohana 6:29).
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Leo, napenda kuongea nawe juu ya mkate wa uzima uliotajwa katika Yohana 6: 16-40. Iliandikwa kabla ya kifungu cha leo cha Maandiko kwamba Bwana...
Katika kifungu cha maandiko ya leo, Bwana wetu alisema kwamba alishuka kutoka Mbingu. ilikuwa ni kutupatia uzima wa milele Bwana alishuka kutoka Mbingu. Alikuja...
Wakati Yesu alipanda mlimani na kuhubiri, umati wa watu ulikuwa ukimfuata. Kisha akiweka mikono Yake juu ya chakula kidogo ambacho kilikuwa cha kutosha kwa...