Mahubiri juu ya Injili ya Yohana (III) - Kula Mwili Wangu Na Kunywa Damu Yangu

Yesu ametupatia uzima wa milele kupitia mwili wake mwenyewe na damu Kanisa linashika sakramenti mbili zilizoamriwa na Yesu. Moja ni ubatizo, na nyingine ni Ushirika Mtakatifu. Tunashiriki katika Ushirika ili kutoa habari juu ya injili ...more

Latest Episodes

1

January 15, 2023 00:52:05
Episode Cover

1. Ni Matumizi Gani Haya, Mikate Kidogo na Samaki Kwa Watu wengi? (Yohana 6:1-15)

Yohana sura ya sita inahusu mkate wa uzima kwa ukamilifu.Imeandikwa katika kifungu cha maandiko ya leo kwamba wakati Yesu alienda upande wa pili wa...

Listen

2

January 15, 2023 00:39:31
Episode Cover

2. Kumwani yeye Aliyeteuliwa na Mungu ni Kazi ya Mungu (Yohana 6:16-29)

Salamu kwa ndugu na dada zangu wote! Ninamshukuru sana Mungu kwa kuwa tunaweza kumwabudu katika siku hii nzuri ya chemchemi, wakati uzuri wake unadhihirishwa...

Listen

3

January 15, 2023 00:42:16
Episode Cover

3. Tufanyie Kazi Chakula Ambacho Kinadumu kwa Uhai Udumuo Milele (Yohana 6:16-40)

Leo, napenda kuongea nawe juu ya mkate wa uzima uliotajwa katika Yohana 6: 16-40. Iliandikwa kabla ya kifungu cha leo cha Maandiko kwamba Bwana...

Listen

4

January 15, 2023 00:38:18
Episode Cover

4. Kuishi Kulingana na Roho (Yohana 6:26-40)

Kabla ya kuanza, hebu tuangalie vifungu vichache kutoka mahali pengine kwenye Bibilia. Warumi 8: 5 inasema, “Kwa maana wale waufuatao mwili huyafikiri mambo ya...

Listen

5

January 15, 2023 00:38:18
Episode Cover

5. Fanya Kazi ya Chakula Kisichoharibika Kwenye Dunia hii (Yohana 6:26-59)

Wakati Yesu alipanda mlimani na kuhubiri, umati wa watu ulikuwa ukimfuata. Kisha akiweka mikono Yake juu ya chakula kidogo ambacho kilikuwa cha kutosha kwa...

Listen

6

January 15, 2023 00:48:59
Episode Cover

6. Lazima Tule Mkate Kutoka Mbinguni kwa Imani Katika Injili ya Maji na Roho (Yohana 6:28-58)

Wakati Bwana wetu alipokuwa duniani, watu wa Israeli walikuwa masikini sana na hawakuwa na chakula cha kutosha kujilisha, kwani walinyonywa na Dola la Rumi...

Listen
Next