Wakati Yesu alipanda mlimani na kuhubiri, umati wa watu ulikuwa ukimfuata. Kisha akiweka mikono Yake juu ya chakula kidogo ambacho kilikuwa cha kutosha kwa chakula cha mchana moja, Yesu akabariki na akafanya muujiza wa kuwalisha watu zaidi ya 5,000 na mkate na samaki, akiacha vikapu kumi na viwili vya mabaki. Kwa hivyo watu walimfuata Yesu na wakamtaka awe Mfalme wao. Waliwaza, Je! ingekuwa heri kuwa na mfalme kama huyo? Kwa hivyo walijaribu kumfanya Bwana kuwa mfalme wao, lakini Yesu aliondoka akaenda kuvuka pwani ya bahari. Umati mkubwa ukamfuata kwa hamu ya kutaka kupata chakula kingine kutoka kwake, Yesu akawakemea, akisema, “Msikitendee kazi chakula chenye kuharibika,bali chakula kidumucho hata uzima wa milele.” (Yohana 6:27).
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Salamu kwa ndugu na dada zangu wote! Ninamshukuru sana Mungu kwa kuwa tunaweza kumwabudu katika siku hii nzuri ya chemchemi, wakati uzuri wake unadhihirishwa...
Yohana sura ya sita inahusu mkate wa uzima kwa ukamilifu.Imeandikwa katika kifungu cha maandiko ya leo kwamba wakati Yesu alienda upande wa pili wa...
Kwa kuja duniani, Bwana wetu alichukua dhambi zote za roho yangu, akazifuta zote, na akapokea hukumu kwa ajili yao. Kwa kufanya hivyo, alitufanya tuwe...